Hotuba ya Mh Rais sijaielewa binafsi!

Hotuba ya Mh Rais sijaielewa binafsi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Katika hotuba aliyoitoa Rais nilishindwa kujua kwanini kila kitu alikuwa akijiuliza eti kama nikweli? kama taarifa zote akizopewa hakuwa na uhakika nazo!?
 
Kila hoja alikuwa akisema ameambiwa.....ameambiwa....hakuwa na uhakika na alichokuwa anazungumza ni aibu kuwa na rais asiye na uwezo wa kuchanganya na zake.
 
Tatizo lako sio kwamba hujamuelewa Kikwete ila ni kwamba HUJUI kabisa jinsi Rais na taasisi ya presidency inavyofanya shughuli zake. Kajifunze kwanza basics halafu utaelewa vizuri.

Nyinyi ndio mnataka kuanza kujifunza kuongeza speed ya gari kabla hata hamjajifunza jinsi ya kuwasha gari!
 
Sasa umeongea nini hapo umepoteza mda nakujaza sever yawatu -----!
 
Bora tundu Lissu umeliona hili kweli hii hotuba aliyeipika alikosea na zaidi anakuwa anamuweka mahali pabaya Rais wa nchi kwa kutoa hotuba ambayo hana uhakika nayo!
 
Kila hoja alikuwa akisema ameambiwa.....ameambiwa....hakuwa na uhakika na alichokuwa anazungumza ni aibu kuwa na rais asiye na uwezo wa kuchanganya na zake.
I was surprised kwa kweli,sina kama presida mwelewe can address such a thing
 
huyo ndo mzee mwenye nyumba,mzee wa kusikia na kuambiwa,hii inadhihirisha jinsi anavyopenda uongozi wa umbeya na unafiki.Atajuaje ya nyumbani kwake wkt muda wote yupo kwa majirani ,unafikiri ataweza kuyajua ya nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom