sasa huku Ruangwa,kule Katavi,Iramba,Bumbuli,Rufiji,Urambo nk hatuoni hizo barabara,elimu,maji na amani?awagawie wabunge sie huku tunataka barabara,elimu,maji na maendeleo na amani Basi.
Haya mambo yanachanganya, sielew kwann serikal imekaa kimya tuMheshimiwa Spika, Wakati Serikali imetumia gharama kubwa sana kumtafuta faru John, Serikali hiyo hiyo haionekani kufikia ukomo katika juhudi za kutoa taarifa za hatma ya suala hili la Ben Saanane. Na taarifa tulizonazo ni kuwa hata kikundi cha Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG), ambacho Ben Saanane alikuwa ni Katibu wake, walipoanza kufuatilia miili ya watu 7 iliyozikwa kando ya Mto Ruvu, walibaini kuwa miili ile imefukuliwa na kupelekwa kusikojulikana haswa mara baada ya kupaza sauti ya kutaka kufanyike vipimo vya DNA ya miili ile 7 ya mto Ruvu.
Nabii Lema ni shujaa .Nimepitia hotuba yote ya Mh Lema..
Ni hotuba moja NZURI SANA..
Hajaacha kitu kinachogusa Wizara ya Mambo ya Ndani.
kwa jicho la uchama, sasa itazame kwa jicho la kizalendo then come backhotuba ya gerezani na misiba
Tatizo ulipata lishe duni utotoni,ndo maana huwezi kufikiri vizuri.Hizi huwa zinasaidia nini?
Imekaa kimya kwasababu nadhani wanayajua vizuri mno.Haya mambo yanachanganya, sielew kwann serikal imekaa kimya tu
Sasa uncomment kwa nini?Mkuu Hizo hutuba ni immaterial
Why is immaterial?Mkuu Hizo hutuba ni immaterial
Hizi huwa zinasaidia nini?