Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi

Mheshimiwa Spika, Serikali inayojivunia mapato yatokanayo na makosa ya barabarani, inakosa uhalali wa kutuma salamu za rambirambi pindi ajali na vifo vinapotokea..........G.Lema 9/5/2017 Bungeni
True ! Makosa ya barabarani yanayosababisha vifo yamekuwa chanzo cha mapato ya nchi , zipo taarifa kwamba mmiliki wa shule Lucky Vicent kupelekwa mahakamani , bila shaka atapigwa faini ili kukuza uchumi wa nchi .

Poor Tanzania !
 
Kumbe hata pesa za maendeleo kwa tume ya kudhibiti madawa ya kulevya hakuna, du!, siasa bana kazi kwelikweli
 
Lema angeweka wazi yaliyomkuta gerezani, niliona kama anakonakona na hakutaka kusema kwa uwazi kuhusu km na yeye alipekenyuliwa kinyeo hahahaaaaa!
 
Lema angeweka wazi yaliyomkuta gerezani, niliona kama anakonakona na hakutaka kusema kwa uwazi kuhusu km na yeye alipekenyuliwa kinyeo hahahaaaaa!
Lema ni mbunge wa askari wa magereza kisongo. Wanampa huduma za rais na anaruhusiwa kuonana na kila mfungwa mle ndani
 
Jamani jamani niambieni naota haiwezi kuwa kweli. Mi nilidhani kwenye mitandao ya kijamiitu kumbe imewekwa kwenye HOTUBA ya BAJETI oooh my God CHADEMA mrudisheni jamani DR, Slaa. Kwa sababu hiyo hotuba labda uliipeleka kwa wakubwa wako sasa mtu km. Dr. Slaa angeweza kukueleza usiwekwe jambo la 'kubaniwa' kwenye hotuba ya maana namna hiy o OMG hawa ndo mbadala over my dead body! Sitakuja kushuhudia wakichukua nchi asilani!
Yaani eti sikupewa muda wa kuzungumza Yere-uwiiiiiii!
 
Can
Can You Believe it?!?!?!?
 
Lema angeweka wazi yaliyomkuta gerezani, niliona kama anakonakona na hakutaka kusema kwa uwazi kuhusu km na yeye alipekenyuliwa kinyeo hahahaaaaa!

Itakusaidia nini akisema?Gereza siyo la wakosaji hata wewe unaweza kubambikiwa kesi ukajikuta unapekuliwa.

Anachopifia kelele ni haki za wafungwa na mahabusu.Anapiga nia UTU wa MTU kama wewe na mimi ukiwa mahabusu au Magereza. Utu hauangalii Rangi ya Chama wala dini.Jiongoze basi mkuu.
 
Hatutegemei tena kusikia watu wanasema wapinzani wanalalamika bila kuonyesha njia mbadala. Lema kasema kila kitu kisichosawa na kilicho sawa na njia mbadala kwa kisicho sawa. Kazi ni kwa maccm kama asemavyo wakili wa mahakama kuu msomi, gwiji wa sheria TUNDU ANTIPAS LISSU. Hongera kwa baba na mama waliomzaa huyu ndugu. Ni tunu na hazina ya Taifa. Asante MUNGU kwa kumleta Lissu kwenye dunia ya Tanzania. Huwa nawaza, Lissu angezaliwa kwenye nchi inayojali vipaji huyu angetunzwa kama mboni ya jicho. Kwa Tanzania eti tunaviweka vipaji mahabusu. Shame on us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…