Hotuba ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mo Dewji kwenye mkutano mkuu wa Club 2024

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20241006-WA0017.jpg
"Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha wote hapa na kwa niaba ya Wanasimba wote naomba kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu kwa uongozi wake bora na mchango wake mkubwa wa kuendeleza michezo nchini."

"Hii ni safari ya pamoja na kwa pamoja tutafanikisha maono makubwa. Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita Simba Sports Club imepata mabadiliko makubwa ambayo yanalemga kuimarisha klabu yetu."

"Kujenga upya Simba kumekuwa na gharama kubwa lakini ni hatua muhimu sana. Tumeweza kusajili wachezaji 14 na Mpanzu tumemleta. Hii ni hatua muhimu katika kujenga kikosi imara ambacho kitaweza kushindana katika ngazi ya juu."

"Tumepata kocha mpya, Fadlu Davids pamoja na benchi mpya la ufundi, kuimarisha miundombinu sahihi ni muhimu katika kufanikisha maono yetu. Tunaendelea kubuni mifumo mipya, bodi imara na kwa pamoja tutahakikisha kila hatua inachukuliwa kwa umuhimu sana."- Mohammed Dewji.

"Ili kufanikisha yote haya tunasubiri mchakato wa mabadiliko ya Simba kukamilika. Tuko katika hatua za mwisho. Ujenzi wa miundombinu hii unakuja na gharama kubwa, ni ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika."

"Tukishirikiana tunaweza kujenga Simba inayoweza kushindana ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika, malengo haya sio ndoto, bali ni lengo linaloweza kufikiwa. Pamoja tunaijenga Simba ya kesho."

"Huu ni wakati wa kuchukua hatua kwa nguvu zaidi. Tukimaliza mchakato wa mabadiliko Simba itakuwa tayari kusimama imara na kujitegemea. Kwa heshima kubwa naomba tuache fitna, tuache fitna tuwe kitu kimoja. Tusigawanyike."- Mohammed Dewji.
 
View attachment 3116716

Mwamedi Glazerbhai kanjibai janja2 sana hiyo.
 
Kwa ukubwa wa Simba huu mkutano ilitakiwa uishe jioni na sio kuchukua masaa machache.
Baada ya taarifa ya fedha kusimwa mwenyekiti kasema Kuna taratibu za wanachama kuomba taarifa, kwani waliweka wazi maadui zao watahitumia.
Kwanini taarifa za fedha wanazificha?
Pia Kuna swala la katiba kuandikwa kiingereza huku wanajua wanachama wao wengi hawajui hiyo lugha, wanadai huo ni utaratibu wa Rita wakati lugha rasmi za Tanzania ni Kiswahili na kiingereza mpaka msajili akawaambia watafsiri kiswahili.
 
Vipi hajagusia kuhusu zile bilioni 20! Labda kama kuna chenji iliyobaki.....!! 😎
 
Hapo point ni kwqmba anawataka wawaishe mchakato ajimilikishe timu kwa mikwara ya kuahidi kujenga miundo mbinu.

Bodi ya ligi kuu juzi tu imemtia mkwara kuhusu janja janja anayotaka kuifanya
 
GSM " yanga bingwa"

MO " nimekuja na dada yangu wa Mombasa, awasalilimie kidogo"

hatari sana
 
Back
Top Bottom