Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Harufu wakati magenius wengine huko duniani wanafanya Mambo makubwa huku kwetu wanapima COVID -19 mapapai na Mbuzi tena kwa testing kit ya msaadaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
China walipima mbwa na paka!
 
China walipima mbwa na paka!
Wametengeneza then wafanya trials.hiyo ni normal scientific procedures,sisi either tumenunua na tumepewa msaada then after some days na pesa tumeshalipa ndo tunafanya trials- kweli serikali haipati hassara
 
Umemsoma Pascal Mayalla kuhusu wananchi wa Mombasa kumlilia Magufuli?
Pachal yuko mombasa? Umewasikia wananchi wa Kongo wanavyotucheka watz namna tulivyomuacha rais anavyochezea akili za watz kwnye janga la Corona alafu tumekaa kimya km tumemwagiwa maji?
 

Mwisho wa mwisho, Mapapai na nyama toka tanzania vitafungiwa kuingia katika masoko ya nchi nyingine yakiaminiwa kuwa yana korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…