GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
🫡🫡🫡 unafaa kuwa mwenezi wa chama Taifa, line ipi inapokea hela ya bia
 
Sijawahi kusikiliza utumbo kama huu aliotoa huyu mgombea wa CCM tangu nizaliwe. Hao wazungu labda wa mchongo
 
ULIVYO ANDIKA UTAFIKIRI HAPO KABLA SERIKALI ILIUNDWA NA CHADEMA!!
 
Lucas mwasahamba namuonea huruma sana mwana ccm mwenzangu anayejitahidi kuonekana lakini viongozi ww juu hawamuoni .labda tu nimwambie zama hizi zinautifauti mkubwa sana tofauti anavyofikria . Jutahidi sana ila kuna siku nitakwambia ambayo ni mhimu uyafanye kabla hujaharibikiwa zaidi nitakupigia simu mojakwamoja nikushauli mambo mhimu
 
Shindwa pepo
 
Waumini wamekosa upako wamevaa mboga mboga🤭

Dunia ngumu zaidi ya ngum ku Bah
 
Hao wazungu labda Haji Manara na Keisha
 
Uwezo wa kusoma gazeti sio🤣🤣🤣hili hadi salamu za kuanzia lina soma dadeki
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena kwa tamaa ya madaraka ya watawala CCM
 
Hawa wazungu wakiwagusa mnatoa milio kibao lakini mnawatumia kama rejea kama mnawazimu
 
Wamebubujikwa machozi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…