GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mhh! me mzungu nipo huku kwenye mantle, crust and Core sijasikiaa, amesema aje?
 
October tunatick✔️
 
😹😹😹
 

Attachments

  • 15af7f03-3385-421e-ba7c-513d710fd5c9.jpeg
    65.6 KB · Views: 30
Ila Lukasi...😂😂
 
Nashkuru mungu kwenye familia yetu hatujazaliwa na mzigo Kama huu
 
Alienda kufanya kampen au kusoma hotuba? By the way, hapakua na vibe hata kidogo, wananchi walionekana wazi kuwa wamelazimishwa kwenda kwenye huo mkutano. Haijawahi tokea Rais kutokukubalika kama huyo mama yako.
 
Dunia nzima! 😀😀😀hata waliokupa like wanafaa kupimwa sifongo
 
Lucas mbona. Mzee wasira amechapia kwenye kujieleza?wasira hayupo sawa kisaikoloji Kuna jambo linaitatiza nafsi yake kuhusi uchaguzi!!!
 
Alienda kufanya kampen au kusoma hotuba? By the way, hapakua na vibe hata kidogo, wananchi walionekana wazi kuwa wamelazimishwa kwenda kwenye huo mkutano. Haijawahi tokea Rais kutokukubalika kama huyo mama yako.
wewe ndiye haukubaliki na ujinga wako kichwani
 
Sina chuki binafsi ila mgombea wa CCM Hana sera. Karuhusu serikali yake kutawaliwa na mafisadi na watu wenye fedha mtanzania masikini Hana chake.
Bila shaka wewe siyo mtanzania au itakuwa ni mhamiaji haramu unayetaka kupita kwenda Nchi zingine na sasa umeona hakuna uchochoro wa kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…