GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa pale mheshimiwa rais alikuwa anajiandikisha nini km sio upopoma tu
 
Amka usingizini utajikojolea
 
Ugali kwanza mengine baadae
 
Labda dunia ya marioo
 
wazungu unamanisha koozi unazomwagiwa mkondo wa majitaka huo na mabahasha au bongozozo
 
Nilivyoona ni Lukasi sijasoma kabisaaa kwa sababu naona aibu na upumbavu nitauona mimi.Na Mungu akinipa mtoto akawa na akili kama za Lukasi ni bora nbadilishane na fungu la nyanya.
Huyo ni afsa matusi wa jumba la masaki, hata usiposoma unakuwa ulishajua ameandika nini.
 
Kauli hiyo imetoka kwa chawa mjinga ajulikanaye kwa la Aunt Lucas
 
Halijielewi hilo,lina lamba nyayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…