Hotuba ya Rais wa Tanganyika Julius Nyerere bungeni 10 Desemba 1962 wakati Tanganyika inakuwa Jamuhuri

Hotuba ya Rais wa Tanganyika Julius Nyerere bungeni 10 Desemba 1962 wakati Tanganyika inakuwa Jamuhuri

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
HOTUBA YA RAIS WA TANGANYIKA JULIUS NYERERE BUNGENI 10 DESEMBA 1962 WAKATI TANGANYIKA INAKUWA JAMUHURI

‘’Hakuna njia nyepesi ya kuondoa tafauti baina ya raia wetu Waafrika na wasio Waafrika; hakuna njia nyepesi ya kuondoa tofauti za elimu kati ya Wakristo na Waislam, au baina ya wachache wenye elimu na wengi wa watu wetu wasio kuwa na elimu; hakuna njia nyepesi ambayo Wamasai na Wagogo wanaweza wakalingana na Wahaya na Wachagga na Wanyakyusa.’’

1570284729935.png
 
Mzee Said najifunza mengi kupitia maandiko yako., Ahsante sana
 
hakuna njia nyepesi ambayo Wamasai na Wagogo wanaweza wakalingana na Wahaya na Wachagga na Wanyakyusa.’’ [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Nasubiri, unga ushakandwa na kutiwa hamira!
 
Nasubiri, unga ushakandwa na kutiwa hamira!
Nguruvi3,
Haya maneno yamo kwenye kitabu cha Abdul Sykes (1998).

Si maneno ya jana.

Yamesomwa miaka 22 iliyopita katika kitabu hicho.

Kitabu changu bado hai na nionapo watu wanakifanya rejea mara kwa mara huwa nafarajika sana.
 
Back
Top Bottom