Hotuba ya Tundu Lissu kwa Taifa yasubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi, Matumaini yatawala, Wachache waingiwa hofu

Hana uwezo wa kuhutubia Taifa, bali anachoweza ni kuwahutubia wana CHADEMA. WACHA kumpa umuhimu asiokuwa nao
 
Propaganda za kizamani sana enzi za Waziri Mohammed Saeed al-Sahhaf wa Saddam Hussein!
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Hakuna Mwenye habari na huyo Mropokaji. ukitaka kujua kuwa watu hawana muda na huyo Mropokaji jaribu kuangalia hata humu tu jukwaani uone namna habari zake zisivyo na mvuto wala kuteka hisia za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…