Hotuba ya Tundu Lissu kwa Taifa yasubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi, Matumaini yatawala, Wachache waingiwa hofu


Tabia za Lucas hatutaki chadema
 
Hapo nimewalinganisha wenyeviti wawili wa vyama vya siasa, CHADEMA na CCM na siyo Rais dhidi ya raia wa Tanzania.

Mwenyekiti mmoja kachaguliwa Kwa mfumo wa wazi wa uchaguzi (Lissu) na mwingine kachaguliwa kimizengwe (Samia)
Huyo Mwingine mfananishage na waropokaji wenzake waliokama wagonjwa kichwani
 
Atakuwa kajifungia ofisini anahutubia mtandaoni sio mkutano wa hadhara

Mkutano wa hadhara kakwepa kuogopa aibu ya kukosa watu wa kuhutubia
Mkuu umesoma uzi vizuri? Mtu anahutubia taifa, atawakusanya watanzania wote awajaze kwenye kiwanja kipi waenee? Uwe mnasoma heading oabla ya kukomenti mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…