Hotuba ya Waziri Mkuu Majaliwa aliyoitoa leo tarehe 22.04.2016

bunge kutooeshwa live huku ukikimbiza mbio za mwenge kuteketeza mamilion ni ukosefu wa maamuzi sahihi..
 
Mida ya saa nane mjana jana Ijumaa nimeisikiliza Hotuba ya Mh.Waziri Mkuu TBC kupitia BUNGE inakuwaje mnakuja hapa kuambia watu hata Hotua ya Waziri Mkuu hakuonyeshwa.Acheni kulishwa Maneno eti kwa kuwa KUB kaongea pima na zako
 
Hivi hiyo Hotuba ya Bajeti ya Serikali 2016/17 nayo itatangazwa au itakuwa kimyakimya kama hizo zingine?
 
Acha unafiki dogo, haya mambo yamekuzidi umri. Ni bora ukaendelea kuuza tshirts na kofia za chama hapo Lumumba.

Aha ha ha. ..! Kumbe rais alikuwa sahihi kwamba kila jambo linalofanywa na serikali watu wanasema ni la CCM. Ndiyo maana hata wale waliosema Mh.Maguli ,rais, anatekeleza sera na ilani yao sasa nao wamegeuka wanasema anafanya ya CCM.

Sasa wewe kwa post yako ndiyo unakataa kwamba wabaya wetu siyo wale wanaotaka tuendelee kuwa tegemezi kiuchumi?
 
Mwanaccm maarufu ambaye ni mbunge na ambaye hakupenda jina lake litajwe amesema kwamba mwamko mkubwa waliouonesha wananchi wa kutaka mabadiliko uliitisha sana ccm. Ndio maana sasa baada ya kuona Magufuli kawavutia wananchi wengi, wameona wafanye kila njia kuhakikisha Magufuli ndiye anabaki kwenye jeadlines kwa muda mrefu. Hii wanadai itswasahaulishs wananchi au itapumguza lile joto la uchaguzi.

Hofu kubwa ya CCM ni kwamba bunge likiwa live vyombo vya jabari na wananchi wststekwa na mijadala ya bungeni na uwezekano ni mkubwa kufifisha kasi ya Mh rais.

Pili CCM inasemekana kwamba kwa vile Mh Magufuli hakuwa ameandaliwa kuwa rais ni vyema akapata muda wa kujifunzs na kuxoea mikikimili ya uongozi wa nchi. Anasema Magufuli ana hulka ya kupenda kusifiwa zaidi ya kukosolewa. Hivyo inaaminika kukosolewa lwingi kutamvuruga!

Taarifa zinasema kwamba lengo ni kumkinga Magufuli na ukosoaji kutoka upinzani na pia kuwapa upinzani platform ya kusikika. Huu ni ule mwendelezo wa kupiga marufuku mikutano ya wapinzani kwa kuwa eti walishindwa hivyo hawana cha kuwaambia wananchi.
 
Kweli wabunge sasa hivi wamekuwa wanyonge wamepoteza umaarufu kabisa... Yaani hakuna mtu anafuatilia bunge sasa hivi
 
Sitaki kuamini kwamba mbunge kufanya kwake kazi kunategemea kuonekana ktk tv, mbona zipo kazi nying ambazo mbunge akifanya pamoja na wananchi tutaweza kutathmini km mbunge anatufaa au hatufai.
Kuna barabara, mikutano, sekta ya afya, mazingira na mengine mengi ambayo mbunge anaweza akajitangaza kwayo kuliko kutegemea kuonekana ktk tv. Tuwe wabunifu wabunge wetu...
 
Hii INA maana gani?watu wameshakata tamaa? Hotuba INA mambo yaleyale? Serikali imepungukiwa umaarufu?mbona hata magazeti hayakuonyesha kuifurahia?kwa nini serikali inapoteza umaarufu haraka kiasi hiki?
 
Hilo ulilolisema ni sahihi na pia maghu anaogopa kuna uwezekano timu lowassa toka ccm wakampinga waziwazi maghufuli bungeni
 
mkuu nimesoma title nikidhani upo objective kumbe upo kishabiki zaidi,
ok bye
 
Hilo liko wazi na mjue tu kua Magu hajiamini na ndio maana ameanza kampeni za 2020 mapema huku akitumia kila mbinu kuwabana wapinzani.Kwa kifupi hawajiamini na ndio maana kila waziri kila wakati anaambatana na media.
 
Hii INA maana gani?watu wameshakata tamaa? Hotuba INA mambo yaleyale? Serikali imepungukiwa umaarufu?mbona hata magazeti hayakuonyesha kuifurahia?kwa nini serikali inapoteza umaarufu haraka kiasi hiki?

Alihutubia bungeni ijadiliwe na wabunge sio magazetini au Jamii forums.Hata hotuba za bajeti zinazowakilishwa bungeni ni kwa ajili ya wabunge wazijadili sio magazeti wala jamii forums.Huku kwingine kujadili ni umbeya umbeya tu.

Ndio maana hata kutorusha bunge live ni sawa tu kwani wanaotakiwa kujadili na kutoa maamuzi ni wabunge.Huku nje wengine tunachosubiri ni maamuzi yaliyofikiwa tu.
 
kosa kubwa la serikali ya jpm ni kuzuia kuonyeshwa kwa bunge hilo litakuwa doa na wamewapa wapinzani wimbo na agenda isiyo na sababu.
kama serikali imejipanga kuwatumikia watanzania inaogopa nini kuweka bunge wazi?
 
hivi kweli bunge litakuwa gizani mpaka lini jamani mbona hutawelewi?
 
Punguza ukali mkuu,changia tu
 
Mm nilishasema kama kweli mnaona kuna umuhimu wa watanzania kujua kinachoendelea bungeni, basi wekeni matangazo yawe live. Habari za kutuletea maandishi hatutaki. Fanyeni bunge lenu liwe la siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…