Vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule, jiko lenye makabati, na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 400k x 6 ipo kimara baruti upande wa kushoto km unaelekea mbezi kutoka main road ni dk 5 tuu kwa miguu nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi tupigie 0759787679