House allowance ipo kisheria katika sheria za kazi,,naomba msaada wenu kama ipo.

House allowance ipo kisheria katika sheria za kazi,,naomba msaada wenu kama ipo.

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
646
Reaction score
1,199
Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna sheria ya kupata house allowance ndani ya sheria zetu za kazi zilizopo hapa Tanzania ili mwajiri wangu aweze kunipa hii allowance,,,ni vizuri kama ipo nijue ni kipengele namba ngapi.
 
House Allowance ni benefit unayopewa katika mkataba na mwajiri wako kwa hiari yake na siyo matakwa ya sheria ya kazi, allowance zinazotolewa kisheria ni kama overtime, transport, likizo n.k na mtu hawezi kuenforce house allowance dhidi ya mwajiri ikiwa haipo kwenye mkataba. mara nyingi hizi allowances zinatokana na kitu kinaiitwa collective bargaining.
 
Back
Top Bottom