House Allowance ni benefit unayopewa katika mkataba na mwajiri wako kwa hiari yake na siyo matakwa ya sheria ya kazi, allowance zinazotolewa kisheria ni kama overtime, transport, likizo n.k na mtu hawezi kuenforce house allowance dhidi ya mwajiri ikiwa haipo kwenye mkataba. mara nyingi hizi allowances zinatokana na kitu kinaiitwa collective bargaining.