House Boy Kafa

House Boy Kafa

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Mtoto John Tangu Azaliwe Alikuwa Hawezi Kuongea kabisa!,
Siku Moja Akaita Bibi...
Kesho Yake Bibi Akafa!!

Siku Iliyofuata Akaita Babu...
Kesho Yake Babu Akafa!!

Nyumba Nzima Ikajaa Hofu kubwa!, Nani Anafuata!!
Haikuchukua muda Mara mtoto Akaita Baba...

Baba akawa na huzuni sana, Akaenda Kazini kwake kawaaga Wenzake akakusanya na madeni kisha akasaini barua ya kuacha kazi...
Aliporudi Nyumbani akaambiwa House Boy Kafa...

Kilichoendelea hata mimi sijui.....

[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Utajua kilichoendelea ukizungusha
 
kama mtoto ni wa houseboy sasa `babu' na `bibi' walikufaje wakati siyo ndugu zake?
 
Back
Top Bottom