Mtoto John Tangu Azaliwe Alikuwa Hawezi Kuongea kabisa!,
Siku Moja Akaita Bibi...
Kesho Yake Bibi Akafa!!
Siku Iliyofuata Akaita Babu...
Kesho Yake Babu Akafa!!
Nyumba Nzima Ikajaa Hofu kubwa!, Nani Anafuata!!
Haikuchukua muda Mara mtoto Akaita Baba...
Baba akawa na huzuni sana, Akaenda Kazini kwake kawaaga Wenzake akakusanya na madeni kisha akasaini barua ya kuacha kazi...
Aliporudi Nyumbani akaambiwa House Boy Kafa...
Kilichoendelea hata mimi sijui.....
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]