Mkulima mzoefu
Member
- Mar 20, 2016
- 5
- 1
its a house thats why we are living in it ...Ifilke mahali muwe mnaacha ukichaa hiyo nyumba au kiwanja
We mzungu? Kuvaa mlegezo tayari sisi waswahili tumekuwa hatuna maana!Mbezi Beach mmekufanya uswahilini sana siku hizi.
We ushavuta bila kula. Nani kakwambia mimi mtoto?We mzungu? Kuvaa mlegezo tayari sisi waswahili tumekuwa hatuna maana!
Alaa.!!
Hivi nyie watoto wa kizaramo kukaa kwa wakoloni kidogo tu tayari unaanza kashfa kwa baba zako sio?Hii ni laana kijana. We huna wazee kwenu?
Mtoto huna adabu kweli kweli wewe.
Mnsssssssssss.
ebhana ndugu yangu our house haipo uswahilini don't judge things superficially ....hapo sio uswahilini its only my house which is semifinished house in the areaMbezi Beach mmekufanya uswahilini sana siku hizi.
#Eneo la KIWANJA sqmts 400
#ipo mbezi beach jogoo upande wa kushoto ukitokea mwenge;300 metres from Africana bagamoyo road
#4bedrooms semifinished house inahitaji semifinishing kwasasa INA umeme tayari
#legal documents zipo pia all legal proceedings will be followed(No magumashi)
#contact the owner/seller directly @0759059431 0714865256 via watsap to see more pictures or any clarifications on this house Also you can Call/SMS
#Price; 100Millions
#dalali HAITAJIKI
#Note documents halali zipo na utaratibu wa kisheria utafutwa mwanzo mwisho
acha kulalamika mkuu,umepewa kwa bei ya kiwanja hiyo nyumba,chagua kuvunja au kuiendeleza.Hiyo hela ni nyingi sana ,nyumba inahitaji major developments mkuu
Even worse. Mmejenga nyumba ya Uswahilini, mmeshindwa kumaliza hata hiyo nyumba isiyo vipimo.ebhana ndugu yangu our house haipo uswahilini don't judge things superficially ....hapo sio uswahilini its only my house which is semifinished house in the area
Onyesha na yako tuione, watu wengine mmekaa kishfa kashfa utadhni hii dunia mliumbiwa muishi nyinyi tu,Even worse. Mmejenga nyumba ya Uswahilini, mmeshindwa kumaliza hata hiyo nyumba isiyo vipimo.
Magofu ya magofu ya Palmyra ya maelfu ya miaka ni mazuri kuliko hiyo unayoiita "nyumba".
Yangu ipo kwenye leafy burbs, kukuonyesha kutavunja privacy yangu.Onyesha na yako tuione, watu wengine mmekaa kishfa kashfa utadhni hii dunia mliumbiwa muishi nyinyi tu,
Mkuu hiyo sio mbezi beach itakua Salasala miyo.Mbezi Beach mmekufanya uswahilini sana siku hizi.
Hahaha, nilienda kutembea huko, kule upande wa kushoto kama unatoka Mwenge kuna vijumba vijumba vya ajabu kama hivi.Mkuu hiyo sio mbezi beach itakua Salasala miyo.
ha a a watu wanaidharau sana pesa 100 mil, unanunua nyumba imekamilika bhanamillion 100 unafikiri inaokotwa
Duhhhh hapa ni tangazo la nyumba tu au
Kuna lingine ?
Umeona hapo tu, hujaona ilipoanzishwa?