Piga hiyo ya tigo itapokelewa................
hata hiyo ya Voda iko hewani pia.......................
Nyumba hii siyo moja kati ya zile zilizokimbiwa na wapangaji wakati ule wa mafurikokweli?? tfadhalini saana wenye nyumba zilizopo kwenye hilo bonde linalotenganisha mwananchi na mtaita msijaribu tena kupangisha nyumba hizo tafadhalini sana nendeni mkaishi huko wenyewe. mimi ni mmoja wa waliokumbwa na yale mafuriko. vifaa vyangu vyote vilisombwa na mafuriko including all my senstive documents. wapangaji chukueni tahadhari.
Nyumba haiko nyuma ya Mwananchi eneo ambalo lilikumbwa na mafuriko...... nyumba hiyo iko juu kabisa na inapakana na Police Post Tabata, iko kwenye hali nzuri kabisa na hata kama unamuelekeza mtu anafika bila hata kumfuata kituoni.....Asante kwa angalizo mkuu. This too is a useful news alert, lol. Ngoja Mtambuzi aka baba Cantalisia aje atufafanulie hapa kabla hatujajitosa