Nyumba ni nzuri ya kisasa ina vyumba vi 3 na vyoo vitatu ipo ndani ya fensi ina maji na umeme pia ina tank la kuhifadhiamaji. Bei yake ni laki 6 kwa mwezi mazingira yake ni mazuri mno for more details calll this 0712464777 no
Na hii ina pangishwa pia ila hii ipo mbweni maeneo ya mount everest ina vyumba vitatu vyote vina makabati ipo ndani ya fensi ina garage kwa ajiri ya kuhifadhia gari nk. Bei yake laki 6