Universal Soldier
Member
- Dec 26, 2016
- 17
- 106
Unaweza usiamini, nimezungushwa na madalali wananionyesha nyumba zinazokatisha tamaa.Upo serious au umekuja kupima upepo wa wenye hasira na uncle Juma? Hivi kwa bajeti hiyo ya 1.6m pm umekosa kweli? Mbezi beach maghorofa kibao yana fence,perving block,garden wanataka kilo 8 hadi mita moja.
njoo pm mkuu achana na madalali uchwara utakuja kutoa ushuhuda huku mbezi beach nyumba kibao ila mikocheni kwa bei hyo huwezi pata room nane kwa dollar 800Unaweza usiamini, nimezungushwa na madalali wananionyesha nyumba zinazokatisha tamaa.
Mbaya zaidi hawataki umjue mwenye nyumba
njoo pm mkuu achana na madalali uchwara utakuja kutoa ushuhuda huku mbezi beach nyumba kibao ila mikocheni kwa bei hyo huwezi pata room nane kwa dollar 800
sorry nimekosea yes hizo hzo nne mikocheni ongeza hela kidogo ila mbezi beach zipo kibaoRoom NNE sio nane
Naongelea uwezo wangu kwa sasa. The maximum I can afford at the very momentsorry nimekosea yes hizo hzo nne mikocheni ongeza hela kidogo ila mbezi beach zipo kibao
https://www.google.com/url?sa=t&rct...6zROT5sng219MEm_6Nk-hQ&bvm=bv.137904068,d.d2sNaongelea uwezo wangu kwa sasa. The maximum I can afford at the very moment
Kama Haujapata nistue nikuunge na Jamaa yangu akupe nyumba mbezi beach inayoendana na bajeti hiyo.Unaweza usiamini, nimezungushwa na madalali wananionyesha nyumba zinazokatisha tamaa.
Mbaya zaidi hawataki umjue mwenye nyumba
Unaishi Tanzania hii hii tunayoishi sisi mkuu?
Sijapata mkuu wangu. Nazungushwa kwenye nyumba zipo location za ajabu tu.Kama Haujapata nistue nikuunge na Jamaa yangu akupe nyumba mbezi beach inayoendana na bajeti hiyo.
1,600,000 per month. Hii figure wengi tunaiandika tu ofisini wala hatujawahi kuifikiria kwenye bank account zetu, sasa kama wewe unalipia kodi kwa mwezi, heshma mkuu.Ndio mkuu, vipi kwani?
Hadi nakosa nyumba. Ujue bado ni kidogo (kwa viwango vya wenye nyumba zao)1,600,000 per month. Hii figure wengi tunaiandika tu ofisini wala hatujawahi kuifikiria kwenye bank account zetu, sasa kama wewe unalipia kodi kwa mwezi, heshma mkuu.
It seems your standards of living are quiet high mkuu, huku kwetu Kwamtogole utapata nyumba na change unarudishiwa katika pesa hiyo, hewa tunayovuta ni hii hii wanayovuta wa Masaki.Hadi nakosa nyumba. Ujue bado ni kidogo (kwa viwango vya wenye nyumba zao)
Mkuu,It seems your standards of living are quiet high mkuu.
Duuuh kodi ya nusu mwaka hiyoMkuu,
Ujue nilishapanga room 1, enzi hizo nikilipia 15,000/- kwa mwezi.
Maisha yanabadilika, na unaona hata kwa hela hiyo unayodhani ni kubwa bado sipati nyumba sahihi. Manake wananitaka nitoe zaidi ya 2,000,000 kwa mwezi ndo angalau nifikie viwango vyao