🙄 Kwa haya Magepu kweli tutaacha Kuchanganyikiwa???? 1.6M/month only for House rent???? Na bado ukaamua kuua kabisa eti upo teyari Kulipa Kodi ya Mwaka😱😱😱.
Embu tumia Hiyo hela kujenga ya kwako tuone kama Hutomaliza only 2Month na ukaa kwako.
Chaaaa Leka naiyo mleu!
Mkuu hiyo haihusiani na umande, tupo wengi tumeenda umande lakini mpaka sasa 18million hatujawahi kuishika1.6m au sioni vizuri?Kwa mwezi?
Aiseee sijui kwanini nilikimbia umande .......
Aiseeee kumbeMkuu hiyo haihusiani na umande, tupo wengi tumeenda umande lakini mpaka sasa 18million hatujawahi kuishika
Usahihi zaidi:Huyu msaka nyumba kiboko yao. Ila sidhani kaka amekosa nyumba zaidi ya show off za hapa JF
....thamani ya shilingi inapotezwa na watu kama hawa!..Usahihi zaidi:
Kwa bajeti hiyo ya $800 (yaani Tsh 1,600,000/-) nilikosa nyumba niliyohitaji hadi nilipojisogeza zaidi hadi kufikisha 2m per month na wanalazimisha utoe mwaka!
Hali halisi:
Soko la nyumba maeneo haya nimebaini limezungukwa na madalali na wenye nyumba bado wanakomaa kutoza kodi kwa DOLLAR. Nadhani Serikali inatakiwa kuingilia sana kwenye hili maana thamani ya shilingi inapotezwa na watu kama hawa.
Mwisho:
Kwa wanaodhani ni show-off, ukiona kibao kimeandikwa "House for rent wewe chukua namba upige usikie kama hujatajiwa $3,000-$8,000 per month na mtu anaongea kama anataja vijikaratasi flani hivi!
Asanteni
Ina maana bei ya nyumba yako ni 1.6 kama alivyotangaza jamaa au ni coincidence?Habari mkuu Nicheki 0689315582 nikupe nyumba mbezi beach kwa 1.6m ...zipo mkuu tumechelewa tu kuona tangazo lako wadau
Kodi yake kwa miaka miwili anapata kiwanja saaafiii sana tena sehemu nzuri.sasa si ujenge yako? dah kuna watu hawana akili duniani