Ina Chumba kimoja master ,sebule na jiko vyote ndani mazingira mazuri ndani ya geti parking ipo maji yapo 24hrs na umeme ni wa kujitegemea una luku yako binafsi no kushea Maeneo ya mwenge 150metres kutoka barabara ya bagamoyo karibu na kituo cha bamaga na karibu na kituo cha afrikasana bei ni laki270