Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
- Thread starter
-
- #21
Kila mtu na mapenzi yake kwa kweli, ila binafsi yangu siwezi kukaa sinza.
Hata mimi siwezi kukaa sinza, huyu ni mshamba hana tofauti na wale ukimuuliza Buguruni Na Chanika kuzuri wapi wanasema buguruni, si kosa lao ila ushamba tu
Mengine yanakera mkuu, kama hujaipenda we si unapita na zako, sasa mtu anasema mbezi ni sehemu mbaya kwa maana ipi ili hali kule kuna upepo mzuri mwanana na kijani kibichi kingi?, mimi watu kama hao wanaokosoa hata pasipotakiwa kukosolewa nitajuwa mwenyewe namna ya ku-deal nao.
wa mtindo huu, ukiwa unaanzisha sred uwe na pain killer na valium, pole lakini, tunatofautiana vifua.
wa mtindo huu, ukiwa unaanzisha sred uwe na pain killer na valium, pole lakini, tunatofautiana vifua.
Kunihamisha mbezi makabe hata kwa greda siondoki kwanza kuna ustaarabu sana anaepaponda mbezi labda kwa mbaaaali ana laana.
Kama unatafuta nyumba ya kupanga na huko hujakupenda basi kuna wengine wanakupenda watapanga na siyo mna-discourage watu.
Unataka wapi kwa mfano nikutafutie mimi