The rent is 400 US dollars in Tanzania Shillings and is negotiable
Hapa sija kuelewa mkuu. 400 USD in Tsh ndiyo maana yake nini?
Duhhh...amequote in Tshs lakini kwa dollar nadhani anamaanisha hivyo. Kuwa rent ni dollar 400 lakini unailipa kwa Tshs. Hii nchi kila kitu in Dollars mbona jamaa wanataka kututeka hivi hivi hadi katika ku-control currency yetu kwa kuiua na kuiweka yao i-dominate!