House for Sale at M'nyamala 'B'; Ideal Business

House for Sale at M'nyamala 'B'; Ideal Business

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
Kuna nyumba ya vyumba sita inauzwa pale Mwananyamala 'B', ipo barabarani na inafaa kwa biashara. Kuifikia nyumba hiyo unaweza kutokea Victoria au Kinondoni. Bei ni shilingi milioni 50, lakini maongezi yapo. Mnakaribishwa.

Call Rachel at 0717-348324.

Youa welcomed!
 
weka picha, ili tujue unauza nyumba au kiwanja, hapo ndio mambo ya mapatano ya bei yatakuwa na maana
 
Imejengwa mwaka gani?

Ikibidi toa maelezo kidogo juu ya hali yake.

Kama imetembea kilomita 56000, ilikuwa inaendeshwa na mwanamke, ukubwa injini ni cc 2500, na model ya 2006 ila imeingia nchini mwaka 2009. LOL
Ukinunua pagara hizo info za kazi gani maana unapiga chini tu then unaweka hiyo yenye specification unazozitaka wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom