HOuse for sale,located at Makumbusho,Price Tsh billion 1.5

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho

Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini

Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na store kisha unapanda ngazi juu kuna vyumba vitatu vya kulala vyote master ila chumba kimoja ni kikubwa zaidi ya hivyo viwili.

Kisha juu kuna studio 4 yaani kila studio ni chumba che choo na sitting room ndogo ukitoka nje kuna kajiko kwa kila studio.

Eneo Square meters 371
Location Dar es salaam Makumbusho
Tuna full documents karibu
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

#realestatemarketingvideos #creatorsearchinsights #houseforsale #tiles #commecialrealestate

Your browser is not able to display this video.
 
Madalali muogopeni Mungu Makumbusho hakuna nyumba ya 1.5billion ya standard hiyo ziko chini ya hapo
 
shilingi inashuka thamani sana siku hiz nyumba bilioni 😅😅😅 ila madalali wangese sana
 
Mbona unauza kwa bei ndogo sana? Hapo kwa haraks haraka unaweza kuuza kwa dola milioni milioni kumi
 
Nyumba kwenye eneo la 371m2 kwa 1.5bn? Labda shillingi yetu imeshuka thamani kama dollar ya zimbabwe.

Tsh 1.5bn = $580k. Kwa hapa Marekani, $580k unapata nyumba nzuri na kubwa kuliko hiyo na iliyoo ndani ya uwanja mkubwa wenye ekari moja au mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…