House4Sale House for sale Location goba price Tsh. 200.000.000/= million Call+255717097905

House4Sale House for sale Location goba price Tsh. 200.000.000/= million Call+255717097905

Emmanuel Akim

Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
71
Reaction score
16
f4feb6f7ead57c236361efd6cf24d859.jpg
 
Tumeiona. Tunasubiri chenji yetu ya magwangala bwana pua ndefu atulipe ndiyo tuwezeshwe nasi kuishi pema kwenye huo mjengo.
 
your not serious.... nyumba hii iwe 200M pengine unatania tuu hela uliyotaja ni ndogo kwa hiyo nyumba
 
Mh hata hiyo pesa ilivyoandikwa !!! Dah hiyo ni shilingi mia mbili na nukta sifuri.au macho yangu hayaoni vizuri mnisaidie. Alafu mbele yake imeandikwa tena neno millioni.ubabaishaji katika kuandika tangazo sasa sijui kama hiyo biashara itakuwa ya uhakika.unajua udalali na wenyewe unapaswa kuwa na uelewa wa kiasi flani.sasa kuandika tu ni shida.OK ALAFU UNGEICHAMBUA KIASI FLANI JINSI ILIVYO, NK.alafu kuweka picha moja tu wakati nyumba ina pande 4 nayo inatupa mashaka huko kwingine kuna nini.
 
Dah hebu kagua huo uandishi wako.kuwa makini katika maswala makubwa ili usitie mashaka na wahitaji.
 
Nimeipenda ilivyo,ramani ya mbele kabisa hyo,ingekuwa mil60 ningeichukua mkuu,ila hivyo ilivyo ingekuwa bahari beach ningekupa hata mil300 mkuu,kila la heri
 
Ni kweli iyo ni bei yake hasa,..?au kuna shida na mahali ilipo,..?
 
Hiyo nyumba ina ukuwa wa sq. m. ngapi? Iko kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Je kiwanja hicho kimepimwa? Kina hati? Maji na umeme vipo? Udalali wako wa shida.
 
Back
Top Bottom