Emmanuel Akim
Member
- Jun 9, 2017
- 71
- 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei, ukubwa wa kiwanja, kina hati?We unatakaje?
Ameandika house4 sale location mbezi beach!Ndo nn sasa umeandika?
Sio ile mkuu. Dah ile inauzwa siku nyingi haijapata mnunuzi. Bei yake naambiwa imeshiba ikashibikaKuna gorofa moja iko mbezi beach nafikiri kituo cha basi kati ya samaki na makonde, gorofa lila mwaka bango la panauzwa lipo hapo, isije ikawa ndo hili gorofa maana wala haijaweka taarifa.