House4Sale House for sale Location mbezi beach

Kuna gorofa moja iko mbezi beach nafikiri kituo cha basi kati ya samaki na makonde, gorofa lila mwaka bango la panauzwa lipo hapo, isije ikawa ndo hili gorofa maana wala haijaweka taarifa.
 
utadhani nimeua mtu pili izi nyumba naviwanja nazo zitangaza sio nyumba zangu ni viwanja pia sasa nashangaa anakuja Mpuuzi mmoja anakuja APA na matusi
 
Weka bei Mkuu,, Kwa wengine inaweza kuwa kubwa lkn kwa mwingine yaweza kua ndio kimbilio., Watu wanatofautiana...!! Kuitana chemba pia kwa wengine ni nafasi ya kufanya utapeli...!! Kuwa transparent plz kwa kila kila kitu hapa hapa bila kuitana chemba...!!
 
Kuna gorofa moja iko mbezi beach nafikiri kituo cha basi kati ya samaki na makonde, gorofa lila mwaka bango la panauzwa lipo hapo, isije ikawa ndo hili gorofa maana wala haijaweka taarifa.
Sio ile mkuu. Dah ile inauzwa siku nyingi haijapata mnunuzi. Bei yake naambiwa imeshiba ikashibika
 
Mbona bei rahisi sana.Yani nyumba nzuri hivyo milioni 32?
 
Napata wasi wasi kwa mtu anaetangaza biashara na taaruma yake ya uandish
Yote Tisa umefeli marketing mkuu yan umeshndwa ata kushawsh watu just as nyumba inauzwa. kwel!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…