Emmanuel Akim
Member
- Jun 9, 2017
- 71
- 16
Hata kama akirekebisha jinsi ya kuandika kiasi cha pesa kama ulivyomfundisha hapo, bado ana tatizo la kuhusianisha (correlate) bei na kitu kinachouzwa.500,000,000 MIL.??? We mbweha nn.. andika 500 MIL.. ndio tatizo la kusomea ualimu wa historia na kiswahili yaani hata pesa inaandikwaje hujui..