House for sale - Nyumba inauzwa

House for sale - Nyumba inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Ipo Kitunda. Ni self contained ya vyumba vitatu kimoja wapo kikiwa masta. In sebure kubwa, dinning kubwa, jiko. Ni nyumba mpya. Inauzwa sh 50mil. Mazungumzo yapo, na pesa ruksa kulipa kwa awamu mbili. kwa maelezo ya ziada tuwasiliane.
 

Attachments

  • PIC01230.JPG
    PIC01230.JPG
    21.6 KB · Views: 135
  • PIC01231.JPG
    PIC01231.JPG
    28.4 KB · Views: 147
  • PIC01232.JPG
    PIC01232.JPG
    25.5 KB · Views: 127
Ipo kitunda ipi? Maana kuna kitunda shule. mwanagati, machimbo, kivule, na kitunda nyatila. Sasa ipo wapi kati ya hizo?
 
nyumba inauzwa kwa sababu mtaji wa biashara unahitajika. Hipo sehemu salama. Nakuondoa wasiwasi hapana biashara ya tinga tinga!
 
Hilo ni muhimu nitalifanyia kazi as you so wish my lord!
 
Lete picha ya ndani tuone. Hauna ramani ya kuonyesha mahali ilipo? kwa sababu Kitunda kubwa na tunajua kuna eneo linalohusika na upanuzi wa uwanja wa ndege
 
uzuri wa nyumba choo!lete picha za ndani bila kusahau choo,isije kuwa choo cha shimo!!
 
tuwekeee picha tukupe pesa..............
 
Ukubwa wa kiwanja pia ni muhimu sana Kitomai.Tafadhali naomba kujua upana na urefu wa kiwanja.Nyumba imezungushiwa uzio ?,ina geti, je kiwanja kimepimwa.
 
Samahani ndugu, Kitunda ni wapi katika Tanzania?
 
Ondoa shaka hausiki na upanuzi wa kiwanja cha ndege.
 
Back
Top Bottom