Ipo Kitunda. Ni self contained ya vyumba vitatu kimoja wapo kikiwa masta. In sebure kubwa, dinning kubwa, jiko. Ni nyumba mpya. Inauzwa sh 50mil. Mazungumzo yapo, na pesa ruksa kulipa kwa awamu mbili. kwa maelezo ya ziada tuwasiliane.
Lete picha ya ndani tuone. Hauna ramani ya kuonyesha mahali ilipo? kwa sababu Kitunda kubwa na tunajua kuna eneo linalohusika na upanuzi wa uwanja wa ndege
Ukubwa wa kiwanja pia ni muhimu sana Kitomai.Tafadhali naomba kujua upana na urefu wa kiwanja.Nyumba imezungushiwa uzio ?,ina geti, je kiwanja kimepimwa.