House4Sale House for sale tegeta masaiti

House4Sale House for sale tegeta masaiti

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
94
[emoji549]NYUMBA INAUZWA IPO TEGETA MASAITI
Nyumba inavyumba 3 na baikota pembeni kimoja master hati miliki ipo haina matatizo yoyote bei 160million maongezi yapo
[emoji1371] bed room master=1
[emoji1371] bed room =3
[emoji1371] sebure juu na chini
[emoji1371] public toilet
[emoji1371] sehemu ya kulia kubwa tu
[emoji1371] fence & gate
[emoji1371] ukubwa wa kiwanja Qm 1300
[emoji654]Nyumba haina tatizo lolote, hati miliki ipo unapewa copy unakwenda kutazama km ina tatizo. kituo cha kufika kwenye nyumba kinaitwa namanga mbele ya kibo. [emoji337] 0714787795
IMG_6266.JPG
IMG_6267.JPG
IMG_6268.JPG
IMG_6265.JPG
IMG_6268.JPG
 
kiwanja kikubwa sana kwa nje..! Lazima uwe na house girls/biys zaidi ya wa3...! Sinunui tena
 
kiwanja kikubwa sana kwa nje..! Lazima uwe na house girls/biys zaidi ya wa3...! Sinunui tena
Square meter 1300 ni kikubwa mkuu?? Mbona kiwanja cha kawaida kabisa hicho?? Kiwanja kikianzia square meter 3000 ndio kikubwa. Au umezoea vile vya sqm 600???
 
Square meter 1300 ni kikubwa mkuu?? Mbona kiwanja cha kawaida kabisa hicho?? Kiwanja kikianzia square meter 3000 ndio kikubwa. Au umezoea vile vya sqm 600???
basi itakuwa kinyumba kidogo.. uwanja ukawa mdogo
 
Back
Top Bottom