Aibu nimeona mimi [emoji87][emoji85][emoji86]Geti liko mbali sana kutoka barazan.
Hapo mvua ikiwa inanyesha jioni halafu baba Debo anapiga honi nifungue geti, mpaka nitoke ndan nifike getini nishaloana ndembendembe chupi inaonekana.
Lazima aombe utamu akifika ndani.
Haaaaa mkuu hata me nimejiuliza nikahisi ni servant quarter [emoji23]
manengeloAibu nimeona mimi [emoji87][emoji85][emoji86]
njoo nikupe room.Una nn ww ?naonà unakuja na gia nyingine ya kunitaftia house hehehe ...na ninatafta room mitaa hiyo fanya mpango nipate..iwe inajitegemea😊😊
Square meter 1300 ni kikubwa mkuu?? Mbona kiwanja cha kawaida kabisa hicho?? Kiwanja kikianzia square meter 3000 ndio kikubwa. Au umezoea vile vya sqm 600???kiwanja kikubwa sana kwa nje..! Lazima uwe na house girls/biys zaidi ya wa3...! Sinunui tena
njoo nikupe room.
basi itakuwa kinyumba kidogo.. uwanja ukawa mdogoSquare meter 1300 ni kikubwa mkuu?? Mbona kiwanja cha kawaida kabisa hicho?? Kiwanja kikianzia square meter 3000 ndio kikubwa. Au umezoea vile vya sqm 600???
zinaitwa `boys` quarters` mkuu.....