House girl hashikiki,hataki kurudi kwa wazazi wake kaingia mitini

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Ameamua kutoro na elfu22 saa mbili usiku.saa nee ikatolewa taarifa polisi.kesho tukampigia rafiki yake wa kiume kijijini kama ana taarifa nae.yule wa kajijini kasema amepigiwa simu na huyo msichana kaambiwa amkome kapata mchumba mwingine mjini mnyakyusa.kesho yake akaja mvulana analalamika mtoto wenu hataki kutoka kwangu.anasema mimi nlimwambia ntamuoa nikimaliza shule 2014 sasa kwanini mumemfukuza?alilala kwangu.tulivyoenda kumchukua arudishwe kwao tukakuta kashaondoka tena.wazazi wake wanamtaka mtoto wao
 

peleken picha yake ITV
 
daaa pole sana mkuu hawa watu wanasumbua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…