House Girl huyu Noma!!!

House Girl huyu Noma!!!

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Posts
1,373
Reaction score
202
Mama mwenye nyumba mmoja alijikutwa akipatwa na kinyaa na kupandwa na hasira baada ya kumhoji mtumishi wake wa nyumbani kuhusiana na kumalizika mara kwa mara kwa vijiti vya kuchokonolea nyama iliyonasa kwenye meno aka Toothpick.


Mama: Mbona vijiti vinaisha hivi kila siku nanunua huwa mnavifanyia nini ?
Mtumishi: Sio mimi Mama ni watoto wako ndio wanamaliza.
Mama: Wanamaliza wao kwani wewe hutumii ?
Mtumishi:Mama mie nikitumia huwa naviosha na kuvirudishia ila wanao huwa wanavitupa.
 
Back
Top Bottom