Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 263
Habari za mchana!
Kuna jirani yangu leo tangu asubuhi kavurugwa anamtafuta house boy wake kakimbia baada ya kumstukia house girl ana mimba alivyomkodolea macho kasema kweli ana mimba ya house boy.
Jamaa alivyo sikia vanga hilo kasepa mbaya zaidi kasepa na laki 3 alizotumwa akamrushie mtoto wa bosi wake anaesoma Moshi sekondari.
Bosi pia anahofia dogo mgeni ana miezi mitano tu tangu aje kutoka Kigoma ndani ndani.Demu nae kwao huko huko kigoma.
Mama mwenye nyumba kavurugwa ile mbaya hajui aanzie wapi ushauri wenu please.