House girl naye mwanamke

Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu
Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.

ni kweli hawa wadada wa kazi ni binadamu na wanahitaji kuheshimiwa sana, nakubaliana na wewe kuwa kuna akina mama wanadharau sana sana kwa hawa wasichana , ila najua wengine kulipiza kisasi kwa wamama hicho kitu hakipo. tukumbuke hawa HG ndo wanakaa na watoto muda mrefu so, heshina ni muhimu sana... akina baba waache ufuska
swali: 1. baba anajiheshimu,
2. mama ni mkali kama pili pili, dharau kibao kwa HG, matusi na kufoka
3. baba kwa sababu anawapenda watoto anaposikia anamuonja mama kuacha kumdharau na kumtusi HG (in private)
4. HG akileta dharau kwa mama, je baba alumiwe?
 
Ndiyo maana wanaume wanapata shida sana ya kibofu cha mkojo ukubwani, ni shauri ya kutoboa-toboa kila tundu. Angalieni, mie sipo.
 
Wakati anakuja kufanya kazi ilo geti halikuonekana ee? Vipi mkeo akifanya hivyo na house boy kwa kisingizio cha geti utashangilia eti? Na ataonekanaje mbele ya familia na jamii kwa ujumla? Yaani hata hicho bado ni kisingizio tu cha tamaa za mwili.

Umenena vyema kabisa nakuunga mkono 100%
 
Wanatia kinyaa,mpaka ufikie kulala na housegirl wewe ni mchafu uliyepitiliza kama suala ni mwanamke unaweza lala hata na mwanao wa kuzaa.
 
Haya, katika mambo kama haya ndio huwa nazishangaa akili za wanaume. Dah jihalalishieni tu, hata mama zenu nan si w
ni wanawake? Kama point ni UANAWAKE?

Hebu kuweni na mipaka ktk mambo haya, kabla hamjawa km mbwa wanaopalamia yoyote wanaekutana nae.
 
Naona jukwaa la mahousegal hapa.....


Kimsingi kabisa...HAKUNA sababu inayohalalisha kutembea na housegal wako nyumbani tafuta hata wa jirani....
 

Ufuska una ruhusiwa nje ya nymba?
 

Umeongea vyema kabisa...................
 
Mahouc-gel wengi wanaokuja hapa home ni wachawi...!! mara nyingi hawamalizi mwezi wanaondoka coz wanashindwa kupaa usiku wakiwa ndani ya nyumba!!!

Mkuu twambie ukweli ni wachawi kweli au mama anawashtukia mapema.
Na wewe hao wachawi unawafyatua wapi?
 
Mkuu twambie ukweli ni wachawi kweli au mama anawashtukia mapema.
Na wewe hao wachawi unawafyatua wapi?

Ni kweli maza anawastukia sana. Kuna mmoja tulimbamba mchana kweupe anacheza ngoma za ajabu ajabu chumbani!!(sikwenda kuchakachua)!!
Ujue hawa tunawatoa bush wakimaliza std 7 tu wanakuwa free...sasa balaa lake...utajuta!!
 
Hivi mnataka kusema hg hana haki ya kuchapwa nao?kwani yeye hana nini?au ndio kusema hg saizi yake house boy?
Ma house G ni wanawake kama wengine,Tena hawa watu ni watalaam sana kwenye ile shughuli,wanakatika balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…