Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Huo ndo ufuska tunaoukataa. Yaani we mwanaume mpaka ukamchunguze house girl wako ustaarabu gani huo? Jiheshimu wewe!! Mazoea na house girl ya nini? Kuwa na mipaka basi.Siku zote sisi wanaume ni watu wa kutamani na sio kupenda kama wanawake walivyo. Sasa mke aki-deligate kila kitu kwa HG ndipo tatizo linapotokea kwa vile baba anapata nafasi ya kumchunguza na kugundua sifa za kumtamanisha. Ushauri kwa mke; siku zote wakae katika nafasi zao badala ya ku-deligate kila kitu kwa HG.
Naona jukwaa la mahousegal hapa.....
Kimsingi kabisa...HAKUNA sababu inayohalalisha kutembea na housegal wako nyumbani tafuta hata wa jirani....
Yani huu ushenzi wa tabia, kwanza baba mwenye nyumba anayejiheshimu na kuheshimu familia yake hawezi jenga mazoea na housegirl.
wewee lazima HG ajitwalie zawadi humo humo,fimbo ya mbali.......so kama beki hazikabi vizuri,lazima kipa(mother house) ageuke kuokota mpira nyavuni!Wazee wa Infiiii.............utawajua tu unatetea nini sasa hapo kwamba??? Kwanini useme aruke na Mumeo?? Hakuna wanaume nje wanaomtaka??Yeye ni mwanamke kama mwanamke mwingine yoyote Ana uhuru wa kupendwa na sio lazima achukue Mume wa mtu!!!!!!!
Kuna mijanaume mingine mijinga sana
unajenga mazoea na HG wa nini??? akusaidie nini??
yeye kaja kufanya kazi na sio kulala na kufanya mapenzi
tena ya makombo na libaba lizima na lenye family na watoto na mke juu aibu gani hiyo kha!!!
Yeye atapata wa kwake lakini sio kushare Maza hausi na HG
Wengine wanakuja namengi dada yangu, sikufanya kazi tu
Tena wamepewa somo na wazazi wao.
Hata kama amekuja na mengi mwanaume lazima uwe na staha bana utalalaje na HG??!!
Ndo maana kuna mtu mmoja aliwahi kusema hawahi nyumbani sababu hataki
Kugombana na watoto (akirukaruka kwenye makochi anaona kero) mara sijui kalia
Mara baba fulani kanitukana hizo kero hazitaki ikiwa ni pamoja na mazoea na HG hayataki kabisa kwa
hili namuunga mkono kwa 100%
Huyo anaogopa malezi, sasa atawajuaje wanawe na inabidi pia amjue mlezi wawanae vizuri ...