Hehehe..mnawaachia kila kitu ndani ya nyumba , mtu aanafua Hadi nguo ya ndani ya Mr, anamuekea chai, housegirl anajua Hadi Mr Yuko kwenye mood nzuri ama mbaya, anajua Mr chakula chake pendwa, anajua Mr anarud saa ngapi, anamtengea maji ya kuoga , anajua Mr hayuko sawa anatafuta namna ya kufanya atabasamu au hata kucheka, wewe hapo uko bize na simu LAKO unapangusa..watoto wakishikwa na mama wanatoa kilio, wakishikwa na housegirl wanafurahi, mbaya zaidi kama housegirl anajua kusoma na kuandika anafanya homework na watoto...mwisho wa siku kama si mr ataingia mazima kwake basi ni housegirl ..Mazoea ya hivi baba mwenye nyumba na msichana wa kazi Hadi msichana wa kazi kukwambia hvo hua mnayatoa wapi??, mwanamke mwenzetu hapa hana mume namsikitikia kaolewa na mvulana na sio mwanaume
ChaiWakuu nishaurini,
Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja
Nikimtoa nyege tu ndio tumefunga mkatabaRiP ndoa ya mtu 😂😂😂
Haiwezekan, tumekubalian tufanye siri Kat yet tuNa ukikoswa koswa kumwagiwa maji ya moto na mkeo usisite kuleta mrejesho pia
Mrejesho nitaleta soonHamna lolote hapa.. mchangamsha genge tu huyu
mpelekee moto, ila mwambie iwe siri yenuWakuu nishaurini,
Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja
Part 2 itafata hii itakua na muendelezo
Usikute yeye ni baba wa nyumbani, mke ndio anaenda kazini. Sasa hapo mazoea lazima yawepo tu.Mazoea ya hivi baba mwenye nyumba na msichana wa kazi Hadi msichana wa kazi kukwambia hvo hua mnayatoa wapi??, mwanamke mwenzetu hapa hana mume namsikitikia kaolewa na mvulana na sio mwanaume
Nipo na mishe za kila sikuUsikute yeye ni baba wa nyumbani, mke ndio anaenda kazini. Sasa hapo mazoea lazima yawepo tu.
Aaaah wapi 🤣🤣🤣🤣Nikimtoa nyege tu ndio tumefunga mkataba
Mbona unankatisha tamaa mkuu nisimleAaaah wapi 🤣🤣🤣🤣
Umemdekeza mtoto wa watu kalegea sasa anakuona kama mtoto mwenzake. Take care ipo siku atakuja kukugongea chumbani saa nane usiku mbele ya mke wako akitaka ukamle
Nimeleta kwenu mnipe ushaur kabla sijamlaLabda hauna nguvu za kiume tu hakuna mwanaume yoyote ataikataa hiyo ofa utakataa huku chin bwana mdogo atakulaumu milele
Wakuu nishaurini,
Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja
Part 2 itafata hii itakua na muendelezo