House girl wangu anataka tufanye mapenzi

Mkuu, regardless ya udhaifu wa mke, kuhalalisha kutembea na housegirl si akili. Bora utoke nje mbali kidogo.

Kutembea na housegirl ni doa fulani hivi ambalo linaacha alama hadi katika uzee wako.

Watoto wakishakua hawatakumbuka what happened, watakachokumbuka ni mama yao alinyanyasika kihisia sababu ya tamaa zako.

Labda kama hamna watoto hapo sawa.

NB: Imagine mkeo uliyezaa nae watoto aingiliwe na kijana wa kazi mpaka aolewe nae kabisa na kukuacha.
 
Mazoea ya hivi baba mwenye nyumba na msichana wa kazi Hadi msichana wa kazi kukwambia hvo hua mnayatoa wapi??, mwanamke mwenzetu hapa hana mume namsikitikia kaolewa na mvulana na sio mwanaume
humu likizo za shule /vyuo zimetililika mno mkuu..unaweza stress kuelekeza au kushangaa/ kumbe kitoto cha form six kimepigwa baridi kimeamka hakina hata mia kimetuna boxer kikamalizia fantasy zake JF..
great thinker ukawaza kumbe mwenzio kametoa hewa kamelala....

so wasamehe tu mwaya...
 
Wewe lazima ni jobless....wanaume wanaotafuta kipato muda ni mchache sana kuambiana na hg habari za nyege...punguza kushinda nyumbani hata kama huna kazi kashinde kwenye kijiwe cha kahawa....
 
Hadi mke aingiliwe na mfanyakazi lazima Kuna mbegu ilioteshwa ikanyeshewa hatimaye ikakua na kuzaa matunda ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…