Naona umeamua kupunguza 50,000/=. Hii si ulikua unataka 250pm wewe? Au nimeifananisha. Anyway vipi dalali anaruhusiwa?Nyumba inapangishwa Kimara Temboni (one km from the main road). Vyumba vitatu vya kulala including master bedroom, sebule kubwa, dining area, kitchen, public toilet, store, eneo la hekari moja linalofaa kwa kilimo/mifugo. Kodi - Tshs. 200,000 kwa mwezi. Pse call: 0764301078 0713301078
Nyumba inapangishwa Kimara Temboni (one km from the main road). Vyumba vitatu vya kulala including master bedroom, sebule kubwa, dining area, kitchen, public toilet, store, eneo la hekari moja linalofaa kwa kilimo/mifugo. Kodi - Tshs. 200,000 kwa mwezi.
Pse call: 0764301078
0713301078