House Maid-Msichana anatakiwa

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA
Maid anatafutwa,nyumba wanaishi mume na mke.hamna watoto,wanafanya kazi wote
sifa zifuatazo mshahara mzuri.anapewa chumba chake pekee cha kulalal full furnished.Kazi za msingi ni KIFUA,Kupiga Pasi,Kupika,sometime kuosha gari.

  1. Awe muaminifu
  2. Mwenye nidhamu, Upendo
  3. Msafi wa mwili na mavazi
  4. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  5. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  6. Asiwe muhuni
  7. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  8. Awe na mtu wa kumdhamini
  9. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…