House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,500
Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka. Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022.

Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House Targaryen, ambayo ilikua ni House ya yule mother of the Dragons kwenye game of thrones.

Teaser Trailer hii hapa Chini itazame.



Official trailer imetoka Leo 20/07/2022


New Teaser 21 August 2022


Official teaser ya Season 2 HOTD imetoka Leo Dec 2,2023.

View: https://youtu.be/HQ8H5gqGA34?si=5O9N_cN0B7DrM7mw
 
Matarajio yangu itafanya vyema zaidi ya GOT.

Ngoja tuisubiri kikubwa uhai tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
The Dragons are coming
1651789392025.jpg
1651789394878.jpg
1651789397502.jpg
1651789405516.jpg
1651789402885.jpg
1651789408513.jpg
 
Hope wakuwepo white walkers and night king...[emoji119]

#MaendeleoHayanaChama
Hapana hawatahusika humu. Hii series inazungumzia Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ya House of Targaryen wakigombea Iron throne, ambavyo vilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya Game of thrones kuanza. Hivyo humu tegemea kuona mapigano ya dragons zaidi. Kwenye Game of thrones kulikua na dragons watatu humu tegemea kuwaona wengi zaidi.
 
Official trailer ya House of the Dragon imetoka Leo. Kuna Dragons Kama wote

 
Back
Top Bottom