Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka. Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022.
Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House Targaryen, ambayo ilikua ni House ya yule mother of the Dragons kwenye game of thrones.
Hapana hawatahusika humu. Hii series inazungumzia Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ya House of Targaryen wakigombea Iron throne, ambavyo vilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya Game of thrones kuanza. Hivyo humu tegemea kuona mapigano ya dragons zaidi. Kwenye Game of thrones kulikua na dragons watatu humu tegemea kuwaona wengi zaidi.