Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Hii series inaelezea kuanguka kwa familia ya Targaryen kulikosababishwa na vita vya wao kwa wao kugombea madaraka.Hii series ni nzuri kiasi chake, ila mpangilio wake wa Matukio, Character development yake, Pia mpaka sasa bado ipo almost katika one kingdom, na sijui itakuwa na seasons ngapi na labda ngoja tuone introduction ya characters wengine wapya.
Ila ikiendelea hivi Itakuwa bado Sana na mbali sana kuleta ule msisimko wa GOT.
Hii naona Kama ipo very straightforward
Umejibiwa vema,Hii series ni nzuri kiasi chake, ila mpangilio wake wa Matukio, Character development yake, Pia mpaka sasa bado ipo almost katika one kingdom, na sijui itakuwa na seasons ngapi na labda ngoja tuone introduction ya characters wengine wapya.
Ila ikiendelea hivi Itakuwa bado Sana na mbali sana kuleta ule msisimko wa GOT.
Hii naona Kama ipo very straightforward
Bora waweke muendelezo maana ilivyoisha ilituachia maswali mengi sanaaaSijaitazama bado naona mnatoa Spoilers.
Jiandaeni na mwendelezo wa Game of thrones unaomuhusu Jon Snow, I can't wait to seemy favorite person again. Kit HaringtonView attachment 2361480
Heee..hii nayo imekaaje aseee...wanatengeneza mpya ama??Sijaitazama bado naona mnatoa Spoilers.
Jiandaeni na mwendelezo wa Game of thrones unaomuhusu Jon Snow, I can't wait to seemy favorite person again. Kit HaringtonView attachment 2361480
Heee..hii nayo imekaaje aseee...wanatengeneza mpya ama??
#MaendeleoHayanaChama
Zipo series kama nne hivi ambazo zipo kwenye matengenezo.Bora waweke muendelezo maana ilivyoisha ilituachia maswali mengi sanaaa
I think Grand Maester MellosEpisode 5
Rate: 7/10
Who poisoned the King????
Aisee..hawa jamaa wamejipanga..tuombe uzima.Zipo series kama nne hivi ambazo zipo kwenye matengenezo.
- itakua inamuhusu Jon Snow akiwa huko beyond the wall so tutegemee kuona baadhi ya character waliokuwepo kwenye GoT
- 10000 Ships: Hii itakua inamuhusu Mwanamke mmoja aitwae Nymeria ambae baadae alikuja kua mwanzilishi wa falme ya Dorne. Ambapo ni kwao na Martell family
- 9 Voyages: itakua inamuhusu Corlys Velaryon aka Sea Snake tumemuona kwenye House of Dragons.
- The Tales of Dunk and Egg: Hii itakua inamuhusu Lord Commander Ser Duncan (Dunk) na Aegon V (Egg)