House of the Dragon Special thread

Nimemaliza got.....nataka nianze hii
Acha wazungu waendelee kunipotezea tu muda, hamna namna πŸ€£πŸ˜‚

Kwa sababu hizi series zina balaa
 
Kama watafuata plot ya kwenye kitabu Queen Rhaenyra atauliwa kikatili sana na Aegon II, Aemond atakufa lakini katika mchakato wa kumuua Daemon atakufa pia.
 
S 01 ilikua ya hovyo mnoo, ila kuna watu wanakwambia inapelekana na GOT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

S 01 ya GOT Haikua boring vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…