Hallo wana jf mi nipo rock city ila tuna nyumba mitaa ya sinza na kuna apartment nataka kuimalizia itakuwa inajitegemea one bedroom,sitin rum toilet,full vigae chini na grill sasa nilitaka kujua market price ya kurent hiyo nyumba maana mwezi wa tisa ndo naimalizia.