Hii ni nyumba ambayo inajitegemea,IPO moja tu kwenye kampaund,INA vyumba vitatu vya kulala,vyumba viwili ni master,sebule kubwa jiko na dining,umeme na maji ni vya kujitegemea,IPO goba kituo kinaitwa kings secondary,ukitokea mbezi mwisho nyumba IPO upande wa kulia,kutoka goba road had kwenye nyumba ni dk tano tu kwa miguu,bei ni 300×6 tupigie 0759787679